Si`ndo mpaka afike hiyo 60 sasa,..maana vijana wana mambo mengi mnoo.Kijana linda pochi kuliko vyote uvilindavyo.
Maneno haya utayakumbuka ukifika 60.
Sasa hivi utaona normal kwakuwa zinaingia na kutoka
Don't take it wrong, kakuomba kama kakake tu jombaa, na shemeji yako, yaani boyfriend wa huyo dadako, mambo yake hayakuwa level kwa wakati husika!Mara paaap!!
Leo kanitext anaomba nimsaidie Tshs. 10,000 tu, amepungukiwa kwenye mishe zake. Mie nimemtumia kiroho safi tu na ameshukuru. Ila najiuliza, kama alinitolea nje, hataki mahusiano na mimi, kwanini ananipiga mzinga tena na mpenzi anaye?