Huu mwaka utaisha lini?

Kwani 2010 imekufanya nini?
 
Umeshachoka mara hii? Hata Juni 2 hatujafika. Vuta subira ndugu yangu it is going to be a great year.
 
huyu atakuwa ni mwanafunzi anatamani kumaliza shule
 
unahamu ya kupiga kura au kupigiwa???
 
deh deh deh! uliota unakufa nini? ngoma ndo kwanza iko mwezi wa kwaza wa januari na kwa ziki za kibongo hii kalenda huwa inakwenda slow moshani kama starring wa mchezo wa kihindi akichapwa na adui.
 
Mkuu ndio kwanza kumekucha, ni tarehe tano ya January, kwisha baada ya siku 360
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…