Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

nani amesema hakuna?
lakini Dar its only 30kms na inabebaba 9000 commuters only kwa siku...

Ilhali Nairobi commuter Rail ni 100kms inabeba 41000 commuters daily...

Unaona kwa nini mipango ya Nairobi ni ya railway....BRT ni kurudi nyuma hapa kwetu

Lakini labda nyinyi mna mipango mingine... kila nchi na shida zake...

Hapa Nairobi BRT haiwezi saidia....
Naona una andika kile unacho dhani njia za reli 3 zote ni km 30 your very stupid
 
Naona una andika kile unacho dhani njia za reli 3 zote ni km 30 your very stupid
if you are frustrated with your country stop insults.....
Mwananchi wenu si ndiye amesema ni 30kms ...enda mkatukanane na yeye...ghasia
 
Bure kabisa.
Wazee wa China first class rail aliyewaloga kafa
tapatalk_1590074678372.jpg
 
Back
Top Bottom