Huu Mwaka hatutaki Siasa za Taarabu

Huu Mwaka hatutaki Siasa za Taarabu

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
Jamani hatutaki majunguu... siasa za kusemana zimepitwa na wakatiii tunataka sera za maendeleoo.
1, kutoa mfumo wa kulindana na kubebana kindugu,
2, kila mtu awe chini ya sheria.. hatutaki hukumu za mauaji bila kukusudia kwa viongozi akipiga dereva risasi jelaaa kama uk.
3, kukomesha mauaji ya albino nao ni watu..,
4, kutokomeza mauaji ya tembo na kuuza meno na pembe china,
5, kuzuia tatizo la kukatika kwa umeme na umeme wa mgao,
6, kuzuia tatizo la mama wajawazito kulala wodi moja 30 wengine wakiwa chini huku wanalipa kodi
7, kuzuia tatizo la ukosefu wa madawa hosipitalini na kung'oa madaktari kucha..
8, kuzuia madawa ya kulevya..
9, kuweza kutangaza mali asili za tanzania nje tanzanite iko arusha na sio kenya, klm iko moshi na sio kenya.
10, tza isiwe inauza mazao njee na kuuziwa zikitoka viwanda, tuwe na viwanda na sisi tuuze mazao na bidhaa za viwandani. ili kuinua uchumi wa taifa walauu kama kenya..
11, siasa isihusishwe kwenye baadhi ya sekta kama elimu mfano walimu wa voda fasta na brn... ili kuleta ufaulu fake upate kura wakati una watendaji fake na hawata compete soko la kimataifa.
12, kuzuia ufisadi, uwizi hasa kwa watu wa juu i mean viongozii nao WAFUNGWE JELA sio wezi wa kuku tuu.
13, vyombo vya dola viweze kulinda wananchi na sio kuwanyanyasa na kuwapiga mabomu, kulinda waandishi wa habari hasa wanapochukua habari na matukio sio wauliwenila walindwe.
14, kuzuia kushuka kwa shilingi.
15, hatutaki sanaa sijui flani kafa. kumbe ana siri zito zito za uwizii na ufisadiii alafu wanaigiza kafa kumbe wamefichwa... hatutakiii tenaaa.. tunataka mabadiliko ili tumtafuteee...
16... KUTOA DAWA KWA WA TZA KWANI NI WASAHAULIFU SANA... YANI WABONGO KWA KUSAHAUUU. DUH..
 
Ili haya yawezekane lazima kupitia na kua makini huu ya katiba mpya mkubwa. Ikiwa watanzania watakua na uamuzi sahihi katiia katiba mpya haya yote yatawezekana
 
Waliozoea taarab miaka yote tangu tupate uhuru hii ngoma mpya yenye midundo 16 ni ngumu sana kwao kucheza.Ila uzuri wapo wanaoweza huu mdundo iwapo tutawapa ridhaa hiyo nao ni CHADEMA!
Rais = chadema
Mbunge = chadema
Diwani = chadema
Wimbo = chadema
Kusalimia = CHADEMA LOGO.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom