Huu mwaka hakuna Fiesta ya clouds?

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Nakumbuka mwaka wa jana na kawaida ya miaka yote, miezi kama hii nchi huwa inatikiswa na burudani kubwa ya sanaa ya muziki maarufu kama Fiesta

Naona mwaka huu kimya kabisa, wala siwasikii kabisa kuhusu show ya fiesta, ndio kusema mwaka huu clouds fiesta haipo?


Kama ipo mbona hatuoni na kusikia maandalizi yake?

Chonde chonde clouds hakikisheni mwaka haupiti hivo, tamasha hili linaumuhimu wake sana mbali na burudani hufungua fursa!

Naandika hivi sababu nilienjoy sana kwa mara ya kwanza mwaka jana Fiesta ilifika Sumbawanga hivyo clouds media tupeni utaratibu wa mwaka huu kwani huu ndio wakati wa Fiesta



Mr Swax
 
Baada ya tukio la jana kule Chongolieni nadhani Fiesta itakuwepo sasa.
 
Mkuu kama utajitokeza kulidhamini basi litakuwepo!
 
Itakuwepo jana wamepatanishwa baba anasubiria kodi yake
 
Mwaka huu nahisi hamna.. maana mwaka jana mwez tar hiz ilikuwa full promo in clouds fm...
 
mbona ipo fiesta ya saida kaloli inaitwa miaka 15 ya saida kaloli.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…