Huu mwaka bora uishe tu, maana......

Wapumzike wanapostahili wapambanaji.
 
Changing of the year won't take your pains away..prayers do.
 
Kitoabu pole sana,

Weka hesabu vizuri, maana umesema 6 ila umeorodhesha 7.
Mkuu kwa mwaka 2020 ni zaidi ya hao, sema niliowataja ni watu wangu wa karibu.
Kiufupi ule mwaka sio mzuri, tena usirudi tena.

Huwezi amini mwezi wa pili madini yalitoka kama karanga, mimi mwenyewe nilifungua ki bar uchwara (kilikua chini ya danga) nikajua huu mwaka ni mzuri kweli.

Kufikia mwezi wa nne mambo yakabadilika mdogo mdogo (Corona ndio chanzo) mala mipaka ikafungwa, wa Thailand (maboss wetu) wengi wao wakaondoka makwao, walio bakia wakawa hawataki kununua madini.

Hapo njaa ika bamba, mpaka kichwa kikajaa upepo.
Mpaka kufika mwezi wa kumi kila jambo langu likawa halinogi.

Kiufupi ule mwaka sintokaa nikausahau.

Ngoja niutazame na huu mwaka kwanza nione itakuaje?
 

2020 maisha yamebadilika sana mkuu.
 
Tanzania natakiwa niingie na angalau $30000 nimekosa kabisa $10000, hapo nitaiweza, lasivyo bola niendelee kuchakaa na madini.

Hivi mshahara wa Laki mbili sijui tatu utanikimu vipi maisha yangu?

Nishazoea kutumia hela, mambo ya kubana bajeti siyawezi.

Nikija hapo, nitawaibieni munifunge ama muniuwe bure, bora muniache tu.
 
Yaani we jamaa ni riwaya tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…