No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
lol, mwa laana nyie.
Ha ha ha ha! Kivipi? Hapo hakuna mtu kasema kitu. Asa si wewe ndo una mawazo potofu, au?
Duhu, wewe kweli una macho makali. Nilikuwa sijaiona hiyo!Ukiangalia kwa makini shinani hapo karibu na mizizi upande wa kulia utaona sura ya mtu mume ikijionesha dhahiri jicho la kulia, pua na midomo, yaani kama anasikilizia vile. Kweli haya ni maajabu.