HUU MTEGO WA ASUBUH ASUBUH.

buchilo

Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
82
Reaction score
69
Umeniota ninini? Mbona umenikumbuka asubuh asubuh? Ujumbe umetoka kwa mdada Ninaemjua nimteja wangu ninae muuzia bidhaa za dukani. Ajabu mimi sijamtumia sms yyote! Sasa wakuu nisaidien nimjibu vip?
 
Kaa kimya akikuuliza ndo uanze saundi huenda kakosea ku send ikaja kwako
 
Kakosea namba na hiyo ni kawaida
 
sina akaunt fecebook. wala stegemii kufungua huko.
 
Cangamkia fursa mkuu mtoto anataka ukuni.....
 
amekosea number hii sms imeingia kwangu sasa hivi kama ulivyoandika yako juu
 
Umeniota ninini? Mbona umenikumbuka asubuh asubuh? Ujumbe umetoka kwa mdada Ninaemjua nimteja wangu ninae muuzia bidhaa za dukani. Ajabu mimi sijamtumia sms yyote! Sasa wakuu nisaidien nimjibu vip?
Mkuu lolote linaweza kuwa.
Hapo kunakukosea namba ama ni limtego la simba, ambalo ukinasa hautakuwa na uwezo wa kujinasua mwenyewe hadi upate msaada wa watu wengine kukunasua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…