Hahahaaa. Mzaha mzaha huo yeye aliiamini Land Cruiser kama sikosei ndio hiyo hapo pichani kimuonekano kwamba inapita tu sasa ndio hayo aliyokutana nayo.Imemkimbiza juu ya mti bosi wa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo ndio mtu huwa anakumbuka ule wimbo wa Dunia lukumbalukumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali sana mkuuHapo ndio mtu huwa anakumbuka ule wimbo wa Dunia lukumbalukumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lady issa huo wimbo wa lukumba lukumbaUmenikumbusha mbali sana mkuu
Lady issa huo wimbo wa lukumba lukumba
Mtunzi na aliuimba yeye mwenyewe
Tabu na raha inategemeaaa yote hiiii kwa ajili yakooo taafuutaaa eeee nawe utapata eeeee yote hiii iii kwa ajili yakoo ee dunia hii mama lukumba lukumbaa ee dunia hii mama mwendo wa ngamiaa...[emoji3][emoji3]Dunia hii mama lukumba lukumba
Dunia ina mambo mwendo wa ngamia
Tabu na raha zinakungojea inategemea rafiki yako
Tafuutaa eeh weeh utapata sikiza maneno akwambiakoo eeh
Dunia hii mama lukumba lukumba. .....
Kabisa....Huyo jamaa ukimuuliza kapande pandaje kwenye mti hawezi kukujibu; kujiokoa kwenye kifo hata ukiwa na kitambi huwa kinanywea kwa muda unakurudi kuwa kijana wa 25yrs.