Huu msara kweli

Hizi mvua azimuachi mtu salama mwaka huu
 
Huyo bwana katika hali ya kawaida ungemwambia apande juu ya huo mti ingekua ugomvi lakini mvua imempandisha..
Hahahaa. Na utakuta ukimshusha na kumwambia apande tena hata pa kushika hawezi paona.

Ila amejifunza kwamba siku zote maji sio ya kushindana nayo.
 
Mwaka juzi kuna picha ziliwekwa hapa, Dada kabebwa na Mshkaji, Kati Kati ya maji wakadondoka
 
Hahahaa. Na utakuta ukimshusha na kumwambia apande tena hata pa kushika hawezi paona.

Ila amejifunza kwamba siku zote maji sio ya kushindana nayo.
Hatari hii sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…