Wakristo wengine sijui sanamu huwa linawadhuru, kwani hi topic ya Yemen au Gaza?
Hakukosea Yesu kuwambieni hakutumwa isipokuwa kwa kondoo walio potea, afu kwa kuwa nyie ni mikondoo mnasema Yesu ndio njia ya peponi, mnakubali kabisa kama makondoo yalio potea 😄
Vipi kondoo aliye potea aone njia ilio potea na yeye kisha potea, afu tena basi uwe Myahudi, sa we mbongo na Myahudi wapi na wapi, Yesu alikuja kwa kondoo wa kiyahudi tena walio potea si wale wako sawa 😄
Hizi bibilia zenu bado tu hamzifahamu, Yesu alitumwa kwa kondoo tu walio potea, na mistari ipo wazi kabisa.