Hongkong
Hii imekaa kama Kowloon East(Tsim Sha Tsui) ndani ya HongKong...
Tsim Sha Tsui kuna pilika nyingi na misosi ya Kihindi au Pakistan huwa yapatikana kwa wingi...
Last time nikiwa hapo nilikula Ugali, kisamvu na samaki wa kupaka kwenye mgahawa wa Wabongo...🙂