Huu mjengo unatoa asilimia ngapi?

Ungeweka maelezo kidogo, pengine ningeweza kusema lolote
 
Bila shaka fundi Maiko hajahusika hapa ila najiuliza balance yake inapatikana vipi manake chini padooogo ila FUNDI APEWE SIFA
 
Mkuu hawa mafundi wa majuu ni shida
Bila shaka fundi Maiko hajahusika hapa ila najiuliza balance yake inapatikana vipi manake chini padooogo ila FUNDI APEWE SIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…