Huu mchongo unakubalika?

siad bare

Senior Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
123
Reaction score
92
Nimeletewa barua na mjumbe serikali ya mtaa kama inavyosomeka nimejaribu kuuliza kama nitapewa risiti inayotambulika na serikali jibu ni kwamba hata risiti ya kawaida haipo,je ni sahihi au atumbuliwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini mipango.
Bila risit komaa nae

sent from Sokoro nkorambokande
 
Sasa na wewe risiti ya efd ya nini
Unataka ukawaonyeshe ofisini urudishiwe bukumbili lako auu
 
Sasa na wewe risiti ya efd ya nini
Unataka ukawaonyeshe ofisini urudishiwe bukumbili lako auu
Kwa hali ya sasa usikubali kumchangia mwenzako pesa bila sababu, watu wameanza kutumia mihuri yao vibaya.

Kila mtu apambane na hali yake tu.
Hakuna namna

sent from Sokoro nkorambokande
 
inabidi aje na receipt kama serikali yake inavyosisitiza.
alafu wanasemaje kama wewe unautaratibu wako binafsi wa kusafisha vitu vyako
 
Mpe tu hiyo buku2 watoto wake waponee hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…