Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sipati picha wabunge wenye miili mikubwa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wabunge waanza kujiandikisha JKT
JKT wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya ukakamavu wa kulijenga taifa Tanzania, Wabunge wameanza kujiandikisha sijui kama hizi suluba wataziweza..............
Komba hapo lazima apasuke kichwa manake kitazidiwa uzito.
Komba hapo lazima apasuke kichwa manake kitazidiwa uzito.
Mkuu Komba alishapita jeshini na aliacha akiwa na cheo cha Captain. (Nyota 3) Watamudu tu ni uoga wa bila sababu. Natamani kurudia JKT. Nilipita OP Program ya Chama 1989/90 832 KJ tukiwa na Mh. Faustin Ndugulile, DPP Eliezer Feleshi, ZCO Msangi, RCO Cammillus Wambura, Dr Shaban naDr Lupondo (MOI) na wengineo wengi tu. Nawakumbuka sana maafande wangu akina Col Meena, Lt Col. Urio, Maj. Chota, Maj Omar (Dr), Maj Mwakitosi, Maj Rugaimukamu, Capt Jalala, Capt Nyoni, Capt Othman, Cpl Nyundo, Ssgt Basekana, Ssgt Manzani, Sgt Sahani, RSM WO 1 Kitomari na WO 1 Situke, WO2 Sanga Kenan nk
Umenikumbusha mbali! Sikujua Feleshi alikuwa Ruvu, Coy gani?
Nikikumbuka Ruvu, nakumbuka Vibwende, maandazi na chai ya Canteen, muziki Wa mwisho wa mwezi, kichele na masharobaro Wa wakati huo.......Hakika sijutii kupitia JKT...Dr Faustine, naona vijana wanaogopa mno kwenda majeshi, unakumbuka Kwa Babu na Vibwende?