mkuu mi najiuliza sana kuhusu hii timu ya tabora!hivi ilipanda kupitia ushindani kweli?
na hiyo jezi ya Ashanti mbona yafanana kama ya Azam
hebu tuongee kiushindani! kama unadhaminiwa na 'timu' unayocheza nayo ligi halafu unahitaji pointi kwa udi na uvumba huwezi kushawishika kuuza mechi kwa mdhamini wako!wadhamini wetu,fatilia jezi ya coastal ya misimu iliyopita ilikua inafanana na ya simba..
mkuu mi na weka wazi mapema ni shabiki wa yanga ila hakuna kitu kinanishangaza kama kutumia fedha nyingi kuajili watu toka nje halafu timu inaishia kushindani ligi ya ndani!yanga imeambulia nini pamoja na ku invest kwenye usajiri wa gharama kubwaaaaaaa!na hapo bado utasikia wamehusishwa na kununua mechi!kwa nini msajili wakati mnatarajia kununua mechi!Eti tumeleta ma pro kwenye ligi yetu pro gani ana imani za kishirikina... match ya jana pro wa yanga anakomaa na taulo ya Ivo...poor Tz football
hebu tuongee kiushindani! kama unadhaminiwa na 'timu' unayocheza nayo ligi halafu unahitaji pointi kwa udi na uvumba huwezi kushawishika kuuza mechi kwa mdhamini wako!
Hatuna focus, sisi focus yetu ni kuifunga simba au simba kuifunga yanga basi.mkuu mi na weka wazi mapema ni shabiki wa yanga ila hakuna kitu kinanishangaza kama kutumia fedha nyingi kuajili watu toka nje halafu timu inaishia kushindani ligi ya ndani!yanga imeambulia nini pamoja na ku invest kwenye usajiri wa gharama kubwaaaaaaa!na hapo bado utasikia wamehusishwa na kununua mechi!kwa nini msajili wakati mnatarajia kununua mechi!
nakubaliana na wewe uandishi umekaa kiushabiki na si ki-fact!Hatuna focus, sisi focus yetu ni kuifunga simba au simba kuifunga yanga basi.
Na hili linasababishwa pia na vyombo vya habari kuwapamba kwa vitu visivyo na msingi,vyombo vyetu vinatangaza sana usajili wa kukomoana na kuacha kutanganza mambo ya msingi
mf. Samatta juzi kati kaisaidia team yake kuingia hatua ya makundi champions league lkn ni gazeti gani liliweka habari hii front page????
nakubaliana na wewe uandishi umekaa kiushabiki na si ki-fact!