Hussein Bashe azichana Sera za Dr Mpango

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292

MY TAKE:
Huyu Hussein Bashe ni hazina, upeo wake ni mkubwa sana, nampa big up sana, na ni mfano mzuri kwa wabunge wengine katika kufanya Tafiti na kutoa mawazo yenye kujenga!
 
MY TAKE:
Huyu Hussein Bashe ni hazina, upeo wake ni mkubwa sana, nampa big up sana, na ni mfano mzuri kwa wabunge wengine katika kufanya Tafiti na kutoa mawazo yenye kujenga!

Naona jina la Waziri ni Dr Mipango lakini hana mipango mizuri ya uchumi wa nchi hii ama hamwambii Mheshimiwa Rais Magufuli hali halisi ya uchumi unavyokwenda. I think he will be next to go.
 
Mtazamo wake aukuwa na majibu ya mafanikio from outset and predictable.

Wasipomtimua huyu bwana na kuangalia timu ya ufundi huko wizarani phase tu inafuata ambayo kuporomoka kwa makusanyo, kuomba msaada na kuwekewa strictly policy conditions za kufanya tunarudi zama za Nyerere bila kutambua na ndipo hapo raisi atakapoanza kuomba poo kwa wazungu.

Give it time as days go the ditch is deepening kutoka bila ya msaada udhani kama itawezekana.
 
Okey, amemshukuru Mungu kwa kufika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan lakini anaanza kutetea TBL.
 
MY TAKE:
Huyu Hussein Bashe ni hazina, upeo wake ni mkubwa sana, nampa big up sana, na ni mfano mzuri kwa wabunge wengine katika kufanya Tafiti na kutoa mawazo yenye kujenga!

Jamani hizi wizara mbili (Fedha na Ujenzi) upande wangu najua mpka leo hazinaga waziri..ila waliopo wapo kwa kutoa mawazo ya Mkuu na kutekeleza walichotumwa na Mkuu...kiufupi hiz ni wizara zake mwenyewe.
 
UCHUMI NI DARASA LINGINE.
RAIS ASISHUPAZE SHINGO TUTAUMIA.
UKIWNDESHA GARI BILA OIL ENGINE ITAUNGUA .
UKIUWA VYANzo vyA MAPATO UTAPATA WAPI KODI.
SPREAD AND NOURISH THE TAX BASE UVUNE REVENUE.
 
Mtazamo wake aukuwa na majibu ya mafanikio from outset and predictable.

Wasipomtimua huyu bwana na kuangalia timu ya ufundi huko wizarani phase tu inafuata ambayo kuporomoka kwa makusanyo, kuomba msaada na kuwekewa strictly policy conditions za kufanya tunarudi zama za Nyerere bila kutambua na ndipo hapo raisi atakapoanza kuomba poo kwa wazungu.

Give it time as days go the ditch is deepening kutoka bila ya msaada udhani kama itawezekana.
Nna wasiwasi na mtendaji Mkuu wake. Sidhani kama ni policy maker ambaye viatu ana uwezo wa kuvaa viatu vya pale. Unajua makusudi mengine ni ya kujitakia. Huwezi kumchukua JUNIOR ukampe jukumu la Macroeconomic Policies za nchi.
 
Bashe always anaongea pure point. Sijui kama rais huwa anamsikiliza.

Ile wizara ni kama haina mtu wa kuiongoza.. hawana main goals.. wanaenda tu ilimrad mkuu kasema.
 
Sema kitu kimoja nimependa alichosema chenge ni kwamba bunge ndio hupitisha wajinga hawa walipitisha bodi itukate 15% ya kijipato changu bila huruma na ndio ambayo yamekuwa yakibariki kila upuuzi unaopita hapo hata kama unaumiza ukiacha wachache sana wanaopinga mengi yanajua kusoma na kuandika yakipigwa blah blah kidogo yanapitisha hovyo sana
 
Shida ni kwamba watu wenye hoja ka Mh Bashe ndio hawatakiwi kabisa ndani ya CCM..

Kizuri kwa Taifa ni kibaya kwa CCM..

CCM ni CANCER ambayo imeshindikana kabisa.

Baadae mambo yakiwashinda utaskia tumuunge mkono rais amethubutu . Wakat sasa hv wanamuona chizi.
 
Back
Top Bottom