Hussein Bashe amenitoa machozi, sababu ya masahibu ya Tanzania ni Rais Magufuli na sio Makonda!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Baada ya kushuhudia Mbunge Husein Bashe akilia Bungeni, Nilishidwa Kujizuia, Machozi yalinitoka ila niliona Machozi tu hayatoshi bali niwe sehemu ya Kukemea Uonevu na Kutetea haki!

Nilikuwa na Video Hapa ya Kutetea Haki, Mod ameiondoa "Kwa sababu alizosema ni kulinda Taratibu za Mtandao" na Kunilinda mimi na Wengine. Ingawa sina hofu natii maamuzi yake, Ila Video iko Youtube, Chini ya Jina Langu halisi.

Bashe alivyolia Bungeni
 
4436_81590864246_8354957_n.jpg
Ni mwogope nani wewe? Sura yangu Nimeiweka kwenye front page, na Jina Langu naitwa Thobias Lekundayo, Lebai, Kasari Shaamba Lamoteva Marandu! Mimi hofu kwangu ni Ibada ya sanamu, Na nitahofu kama namwonea mtu Jambo ambalo sifanyi, Unataka kuniona? Hiyo Ni Picha yangu, Huwezi kupigania haki ukiwa Umejificha nyuma ya Sketi ya mama!
Dah! Jamaa kajirekodi lakini kaogopa kuonyesha sura yake maskini kwa kuogopa kutekwa na mhuni Bashite na kikosi chake cha Invisible Kikosi cha Bashite Force.
 
Mmezoea kubembelezwa bembelezwa kama watoto. Fanyeni kazi
Huna Mamlaka ya kuwaendesha Watanzania Kama watoto, Unayeweza Kumwelekeza la kufanya ni Mkeo au Mtoto wako! Huniletei Mkate au Maziwa Nyumbani kwangu, Kazi uliyopewa na Watanzania haikupi Mandate ya kukalisha Matako yako Vichwani Mwao! Watanzania Kupitia Bunge Ndio Mabosi wa Yeyote serikalini, Period hivyo, Kuanzia Juu Rais na wote Fanyeni Matakwa ya Mabosi wenu, kinanani ni Mabosi Wenu? Mliopiga Push-up mkiwaomba Kazi! "WANANCHI" na sio the other way round! Upo?
 
Bwana Marandu pongezi sana kwa kujiamini na kwa jeuri dhidi ya udikteta uchwara. Lakini, unaichukuliaje sheria inayoelekeza kuwa rais hawezi kushitakiwa kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani na hata baada ya kustaafu? Wewe raia unaweza kweli kuwa bosi wa mtu wa aina hiyo na wateule wake? Huoni kuwa nchi imekabidhi uhuru wake kwa mtu mmoja kwa kumpa madaraka ya aina hiyo?
 
Idiamini Hakuweza Kushitakiwa, Saddam Hussein alikuwa hashtakiki, Mobutu alikuwa hashitakiki, Qaddafi alikuwa hagusiki Bokasa alikuwa hashikiki, Nicholae Seocesecu alikuwa Untouchable, Samwel doe alikuwa hazungumziki, Benito Musolini Ulikuwa hata kumtazama Vibaya unaenda na Maji, leo wako wapi! Does anybody think he is so special!
 
Ipo siku yatakufikia ndio Utajua Uonevu hauna mipaka! ni kama ajali. Unatetea Upuuzi kwa kuwa wewe sio unayeonewa? Watu wa aina yako Ni accident to humanity! Mimi mtu Mshenzi kama hata Kama ni Baba yangu Mzazi nitampinga!
Tehe tehe tehe
 
View attachment 494549 Ni mwogope nani wewe? Sura yangu Nimeiweka kwenye front page, na Jina Langu naitwa Thobias Lekundayo, Lebai, Kasari Shaamba Lamoteva Marandu! Mimi hofu kwangu ni Ibada ya sanamu, Na nitahofu kama namwonea mtu Jambo ambalo sifanyi, Unataka kuniona? Hiyo Ni Picha yangu, Huwezi kupigania haki ukiwa Umejificha nyuma ya Sketi ya mama!
Unatoa mapovu uko nje ya nchi!!! Rudi Tanzania tukuone!
 
mkuu marandu kama maisha ya huko nje ni magumu yamekushinda si urudi nyumbani tu...huku mashamba yako mengi tutakupatia ulime usione aibu naona kubeba mabox kumekushinda rudi nyumbani tujenge nchi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huna Mamlaka ya kuwaendesha Watanzania Kama watoto, Unayeweza Kumwelekeza la kufanya ni Mkeo au Mtoto wako! Huniletei Mkate au Maziwa Nyumbani kwangu, Kazi uliyopewa na Watanzania haikupi Mandate ya kukalisha Matako yako Vichwani Mwao! Watanzania Kupitia Bunge Ndio Mabosi wa Yeyote serikalini, Period hivyo, Kuanzia Juu Rais na wote Fanyeni Matakwa ya Mabosi wenu, kinanani ni Mabosi Wenu? Mliopiga Push-up mkiwaomba Kazi! "WANANCHI" na sio the other way round! Upo?
Kweendra zako, executive ndio ina mzizi uliokwenda chini zaidi, wote nyinyi mnategemea fedha za serikali. Serikali imewaweka tu ili muisaidie.
Kwa iyo serikali ina haki ya kufanya lolote ikizingatia haki za utu na haki za taifa simultaneous.
Huo mkate na maziwa unapeleka kwako ni kutokana na juhudi kubwa zaidi za serikali na hao wengine kuhakikisha unayo amani ya kujitafutia rizika.

Nyea kwa heshima mkono unaokulisha
 
Back
Top Bottom