Husninyo Pokea Proposal

ha ha ha
ujane mbaya
chezea hogo la jang'ombe

Atauwezea wapi konnie, hivi jana si ulimwona alivyogaragara wakati uporoto anampa ile talaka? Mi nilijua atazirai siku 3 lol..
 
Mwanamke pozi...sasa wewe kusikia tu umekubali haraka hivyo....lol
Ndo mana Uporoto kakukimbia.....
Jishaue basi hata kidogo Husny
We koma kumshauri mwenzio uongo, unataka ajishaue judgement abadilishe mawazo utamuoa wewe?... Ataenda kujishaua mbele ya safari.
 
Babueee
mwanamke shurti awe harage la mbeya
ukishikwa shikamana
na ukibebwa kunja miguu

Inahu?? Ujivunge vunge
wajanja wabebe lol

Mwanamke pozi...sasa wewe kusikia tu umekubali haraka hivyo....lol
Ndo mana Uporoto kakukimbia.....
Jishaue basi hata kidogo Husny
 
Husninyo ucwe unasahau kuja kwangu kama kawa. C unajua jnc ndondo inalipa. Nakukubal sana kwa out work aka ndondo.
 
Mimi c muwekaji kambi. Donoa donoa 2. Hata we wajua.
 
Mwanamke pozi...sasa wewe kusikia tu umekubali haraka hivyo....lol
Ndo mana Uporoto kakukimbia.....
Jishaue basi hata kidogo Husny

weee! Hujui maisha mafupi na muda hautoshi. A second is enough for me to fall in love babu eeeh!
 
Babueee
mwanamke shurti awe harage la mbeya
ukishikwa shikamana
na ukibebwa kunja miguu

Inahu?? Ujivunge vunge
wajanja wabebe lol
Hahahahaaaaaa! Namshangaa huyu Erick na ushauri wake wa giza, anataka Jux akuje hapa aseme kamzimikia mtu mwingine jina linaanza na herufi J au? Hajui humu ndani ni kuwahiana , anataka husni arembe ili iweje?

Hajui ameponea chupu chupu kuwa mjane?
 
We koma kumshauri mwenzio uongo, unataka ajishaue judgement abadilishe mawazo utamuoa wewe?... Ataenda kujishaua mbele ya safari.
Hahahaaa hakumwona mwenzie Jane000 kwa Ousofia?? Full mapozi
 
namshangaa! Hajui malavidavi ya siku hizi ni kama daladala. Ukishuka wenzio wanapanda.
 
weee! Hujui maisha mafupi na muda hautoshi. A second is enough for me to fall in love babu eeeh!
Hahaha! Mwambie huyo swahiba, hajui siku hizi tunaenda kujishaua tukiwa chumbani...lol.
 
Husninyo ucwe unasahau kuja kwangu kama kawa. C unajua jnc ndondo inalipa. Nakukubal sana kwa out work aka ndondo.

natulia na mme wangu judgement. Vismol hauz tupa kuleee!
 
Babueee
mwanamke shurti awe harage la mbeya
ukishikwa shikamana
na ukibebwa kunja miguu

Inahu?? Ujivunge vunge
wajanja wabebe lol

Kweli ukishukwa shikamana...naona usemi huu kwa husny umefanya kazi...yan chapchap lol
 
Usinikumbushe Jux
alinilaza msalani siku mbilia naendesha trekta.

lol, binti yule sijui alitumwa na nani.
 
weee! Hujui maisha mafupi na muda hautoshi. A second is enough for me to fall in love babu eeeh!
Tena ukizingatia bado una majeraha makali....
Hivi Judgement anakufikia wapi??
Kiunoni au mabegani??
Sidhani km kakuzidi au mko sawa kwa urefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…