.Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!
Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.
Asanteni sana,Tuko pamoja
Hello wana JF;

Asanteni sana,Tuko pamoja.
Heee!! yamekuwa hayo tena? huyo shostito wako aliyekukaribisha JF hakukwambia kwamba hapa wamejaa wajuwaji? kuna watu wa kujipendekeza kuna wakujishongondowa na kuna wa za uso live.Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!
Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.
Asanteni sana,Tuko pamoja.
Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
Hapo kwenye red, utanihakikishiaje kuwa kutakuwa hakuna baby daddy drama?Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
wewe unashangaa digiriii wakati sisi wengine twaangalia mpaka g.pa! Chini ya 4.0 haiwezekani
Maneno makali sana dude!Wewe unaota ndoto za Mchana, Mwanaume mwenye sifa hizo aje kutafuta mke JF? Tena used one with kid? u must be joking. ukifikisha miaka 40 utapata akili timamu utamtafuta hata konda wa dala dala.
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
Hello wana JF;
Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu.
Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake mnatafuta,otherwise msingekuwa huku.Lakini kama mtu ametoa vigezo vyake na wewe huna,waachie wenzio,sio uaanze kukashifu na matusi.Hii inaiangusha sana JF.Kuzaa nini?Maana yake ni kujali! Kuna wanawake wangapi wa umri wangu ambao wako single na pengine wamenizidi lakini wametoa mimba kibao?Mimi sikutaka kutoa mimba ndo maana nikazaa and am not regreting that! My baby is the best thing ever has happened to me so for.Valuable than anything I posses!
Au nyie mnao comment hapo mmetoa mimba ngapi?na pengine mmewakimbia wanawake mliowapa mimba.
Asanteni sana,Tuko pamoja.
Mpendwa, unasema awe single mbona wewe una mtoto? Huyo aliyekupa mimba yuko wapi?
yale yalee....... Wanawake feki wanataka wanaume halisi
Mpendwa, unasema awe single mbona wewe una mtoto? Huyo aliyekupa mimba yuko wapi?
Mpendwa, unasema awe single mbona wewe una mtoto? Huyo aliyekupa mimba yuko wapi?
Ama kweli tabu, watu washautumia ujana wao wakaenjoy then wanataka vijana walioutunza ujana wao wautumie?! Ni haki kweli hii? I think you should choose to be a second wife, period!