Baby Angel2012
Member
- Nov 19, 2012
- 19
- 18
Hili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, Nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi Kama biashara.
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
MKUNYEYE umekaaje, flat rate au high ratedMp¤d¤d¤
wewe unashangaa digiriii wakati sisi wengine twaangalia mpaka g.pa! Chini ya 4.0 haiwezekanihili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi kama biashara.
Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM.
Mchumba ANAYETAFUTWA:
Awe Mkristo,mwanaume anayejishughulisha,awe ameajiriwa au amejiajili mwenyewe kwa shughuli zozote zilizo halali.
Sibagui kabila.Elimu angalau ya chuo.Umri miaka kuanzia 35 hadi 45.Awe serious no time wasters please.Pia awe single,sihitaji uke wenza.
Kwa mwanaume yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious tuwasiliane kwa Pm only.
MKUNYEYE umekaaje, flat rate au high rated
Sio rahisi kukusahau kwa ile issue Wiyelele! Ubishi wako ulikuwa unanitisha sana!
Hili na mashaka nalo, kila mtu anae tafuta mtu, akiweka sifa yake .. Utasikia na degree, Nina kazi nzuri anajimbia misifaa. Real love aina izo mbwembwe zenu! Taja jinsia, na mawasiliano yako basi mengine mtaambiana hukohuko mtakapo kukutana, msifanye mapenzi Kama biashara.
Mbona tupo wengi sanaMwanaume mwenye sifa izo awe single tena!
wewe unashangaa digiriii wakati sisi wengine twaangalia mpaka g.pa! Chini ya 4.0 haiwezekani