Hurricane Matthew

Hatari sana, Bahamas kimeshafua huko tayari State of emergency imeshatangazwa katika Jimbo la Florida ili watu wahamishwe.
 
Reactions: BAK
Tuwaombee uzima wa maeneo hayo ila wengi wameitikia vizuri wito wa kwenda kwenye maeneo salama. Wachache wamebaki kwa kudai wanalinda nyumba zao, mali zao na biashara zao.

Lakini hivyo ni huko Bahamas na visiwa jirani. US ndio kwanza kimeingia na mpaka sasa 23 hawana umeme na mamlaka za hali ya hewa wanasema kimbunga methew cha karne cha aina yake.
 
Tuwaombee uzima wa maeneo hayo ila wengi wameitikia vizuri wito wa kwenda kwenye maeneo salama. Wachache wamebaki kwa kudai wanalinda nyumba zao, mali zao na biashara zao.

Kuna watu wanashangaza sana, kwao mali ni zaidi ya uhai! Kuna jamaa mmoja amehojiwa amasema yeye haondoki, analinda mali zake.
 
Wanatia huruma sana Mkuu na kwa mfano Haiti ni moja ya nchi maskini sana duniani. Natumai nchi mbali mbali ziwatasaidia ili waweze kurejea kwenye maisha ya kawaida haraka na pia kuwapunguzia adha kubwa ya kimaisha kufuatia hili gharika Matthew.

Oh noooo!! 269 is too big Jamani.... mungu asaidie wapate msaada
 
Inashangaza sana Mkuu Yegomasika uhai una umuhimu mkubwa sana kuliko mali, mali zikiharibika unaweza kutafuta mali nyingine lakini uhai ukipotea ndiyo imeshatoka hiyo.

Kuna watu wanashangaza sana, kwao mali ni zaidi ya uhai! Kuna jamaa mmoja amehojiwa amasema yeye haondoki, analinda mali zake.
 
Hayo ndio majanga ya asili. Kimtikisiko cha hivi majuzi kule Kagera kiwe changamoto kwetu kujipanga ...
 
Wanatia huruma sana Mkuu na kwa mfano Haiti ni moja ya nchi maskini sana duniani. Natumai nchi mbali mbali ziwatasaidia ili waweze kurejea kwenye maisha ya kawaida haraka na pia kuwapunguzia adha kubwa ya kimaisha kufuatia hili gharika Matthew.

It's sad....
 
Reactions: BAK
Hayo ndio majanga ya asili. Kimtikisiko cha hivi majuzi kule Kagera kiwe changamoto kwetu kujipanga ...
Tanzania ijipange? kwa majanga ya aina ya Hurricane Mathew? Taifa la marekani na ukubwa wake lakini limepigwa na mshangao. Tuzidi kumuomba sir God upele awape haohao wenye kucha mkuu.
 
Tanzania ijipange? kwa majanga ya aina ya Hurricane Mathew? Taifa la marekani na ukubwa wake lakini limepigwa na mshangao. Tuzidi kumuomba sir God upele awape haohao wenye kucha mkuu.
Kujipanga kuna level tofauti tofauti Mkuu. Sawa hatuna uwezo wa Marekani lakini hata kutimua wa mabondeni nalo linatushinda?
 
Ukiangalii hii hurricane lazima umshukuru Mungu kuishi Afrika maana hayo mambo hayapo
Ingekuwa inatokea huku na huu umasikini wetu sijui kama tungeishi hata miaka 50
Mungu wetu ni mwema kwetu
Haiti itahitaji zaidi ya miezi 18 ili irudi katika hali ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…