Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Mshikaji, swahiba na rafiki yangu amejikuta njia panda asijue LA kufanya baada ya msambinungwa/demu/girlfriend wake kupinga kitendo cha kuvunja mahusiano yao km hatanunuliwa Gari.
Kwa kifupi jamaa alimuahidi girlfriend wake ndoa mwaka huu sasa jamaa anasema gelo wale ni mnene sana.
So amemchoka bidada na anajiona hawaendani kabisa. Wakati wa mahaba nitelekeze jamaa alikolea hasa na Kosa jamaa alilofanya ni kumtumia bidada hela ya kununua kiwanja baada ya kushawishiwa na Mdada kwamba kuna ardhi nzuri mahali. Hati ya ardhi (km nusu ekari) anayo gelofrendi na amekataa kuirudisha had hapo Gari litakapopatikana.
Wanawake wamechoka kutendwa siku hizi, ukicheza tu utakuja simulia. Kwanini unaahidi ndoa wakati hujajipanga? Kwani si uombe tu gemu. Wanaume tambueni kuwa wanawake wameamua kutafuta namna ya kukabiliana na tatizo sugu LA kutendwa katiks mapenzi.
Wanawake wa Leo sio wale unamuacha anabaki kulowesha mto kwa chozi usiku kucha wa siku hizi ni wa digital.
Ukifikiria kumtenda ukajipange haswa manake lolote laweza kutokea.