joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
1)Deni la Kenya ni Mara tatu ya TanzaniaBajeti ya Kenya ni mara mbili ya bajeti ya Tanzania. Tuanzie hapo wadau. Povu ruhksa
Corruption is ten times, Povu linakaribishwa, mwisho wa povu ni saa 12 jioni.Bajeti ya Kenya ni mara mbili ya bajeti ya Tanzania. Tuanzie hapo wadau. Povu ruhksa
ila izi battle zinatufanya tuwe closed sana ingependeza one day tungeandaa tours1)Deni la Kenya ni Mara tatu ya Tanzania
2)Unemployment Kenya ni Mara mbili
3)Inflation ni Mara mbili ya TZ
4)Gap between rich and poor ni Mara 2
5) Gharama ya maisha ni Mara 2.
Mkuu kwan Nairobi si hata kwa gari wapita borders pale Namangaa??!!!ila izi battle zinatufanya tuwe closed sana ingependeza one day tungeandaa toursili tuwacheke vizuri majirani
Usisahau kutembelea "Kibera human National Park", ukajionee maajabu ya kumi ya dunia.Mkuu kwan Nairobi si hata kwa gari wapita borders pale Namangaa??!!!
Nitajaribu siku inshaallah nizame Nairobi Mungu anijaalie uhai japokua sio mwaka huu wala mwakan.
HAHHAHAHAHAAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHA.Usisahau kutembelea "Kibera human National Park", ukajionee maajabu ya kumi ya dunia.
"kinyesi iko namna gani"Hebu tuelezee kinyesi iko namna gani bro? Hope sio ssabu yako ya kuwa mkali na mwenye majungu mengi hivi...unaongea Kama mtu aliyeharibu sura akijaribu kumeza kinyesi 😂😂😂
Ha ha ha ha ha ha haHapo hapo kuja View attachment 1191206
HAHHAHAHAHAAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHA.
DAAH ASEE YOU PEOPLE REALLY MAKING UP MY DAYS ALWAYS!!!!!!!!!
Kuna kabila lao hawa washikaji wanajiita KALENJINS kuna mmoja nilimpata kwa social media FB akawa akijitapa mzuuriii ila anakuja kunirushia pic zakeee!!!!!
Ana sura kamma ubao wa supu ana komwe kama buti la teja halafu nywele zimeanzia utosini.
HII NIKAIWEKA KAT YA MAAJABU 12 YA DUNIA ikitanguliwa na kibela slums human nation park.
Hii kufurahia maumivu ya mwenzio kabisa.Daaah hili sio jambo la kufurahia aisee wanatia huruma mpk machozi ujiran mwema itabidi ufanye kaz hapa.
Hii kufurahia maumivu ya mwenzio kabisa.
Wewe Ummayed , Redeemer , Joto la Kifo ,Giza Ulale ,Babayao225,Eliakeem nyie wote ni sadists ,psychopaths and sociopaths kabisa .Nyie wote mnapenda giza ,unyama na kifo zinawafurahisha sana especially ikitokea Kenya.
Daaaah kaka HUJUI NAWAPENDA SANA WAKENYA NA NAWAOMBEA SANA DUA NJEMA ILA HUMU MM HUONGEA SANA KWA MATANI.Hii kufurahia maumivu ya mwenzio kabisa.
Wewe Ummayed , Redeemer , Joto la Kifo ,Giza Ulale ,Babayao225,Eliakeem nyie wote ni sadists ,psychopaths and sociopaths kabisa .Nyie wote mnapenda giza ,unyama na kifo zinawafurahisha sana especially ikitokea Kenya.
Makahaba kila sehem wapo na omba omba kila sehem wapo.Kibera ndio size yako...omba omba na wachuuzi wa mitumba gikomba kutoka tanzania wanajihifadhia hko..usihau wale makahaba wenu wanaojiuza pia...
High end areas hutoziweza..maisha ya nairobi sio ya buku jero...na hta hko kibera ujipange na kodi plus umeme...
Self defence sio kuiponda Tanzania. Agalia hao watu wote nilitaja hapo juu uone nyuzi zao nyingi sana za kuiponda Kenya ,wivu na uchokozi kila siku hapa.Hivi si nyie ndo mko hapa daily mkiiponda Tanzania au ndo ile nyani haoni kundule?
Mlitengenezewa hili jukwaa maalum kwa ajili ya kidiscuss mambo ya kenya ila kwa sababu nyie ni wakumbafu mkaanza kuingiza vitu visivyowahusu.
Badala mdiscuss na kuipa serikali yenu makavu ipambane na njaa inayowachapa kila mwaka mko busy na mambo ya Tz.
Daah bro ht nanyi huleta threads za kutukosoa na kutuponda kuwa mkweli kaka Yesu anakuona.Self defence sio kuiponda Tanzania. Agalia hao watu wote nilitaja hapo juu uone nyuzi zao nyingi sana za kuiponda Kenya ,wivu na uchokozi kila siku hapa.
Sasa ona yule mtu aliyesema "nawapenda wakenya na naipenda Kenya" akisema mambo yakukanusha vile alivyosema .Haya nenda uwaambie wale foreigners wengi wamefanya Nairobi makao yao ati maisha ni mabaya sana kule .Makahaba kila sehem wapo na omba omba kila sehem wapo.
All at all Tz kuna maisha simple sana ambayo yanamfaa yeyote sio maisha kandamiz km ya Kenya mpk kutembeleana mpeane appointment
Tz hamna hzo vtu.
Hata ninyi kuna majambaz na majiz ya kikenya tumeyafunga huku.
Kwa kujifanya kwenu life juu ndio maana wengi wenu hushindwa ku afford maisha nzuri sio km sisi maashaallaah tunapata maisha manzuri kiurahiiiisi na bei nafuu.
1500 tsh mm nala kwa siku milo miwili mizuri nashiba kenya sasa kudaddaakeee ni different.