Huna maana hata iweje. . .

Ngoja mkeo takapoenda seminar ya kikazi mkoani Arusha na kabaridi kale kwa wiki then akakutana na ex boyfriend wake kwenye hilo kongamano then akamualika nyama choma pale matongee na bia mbili tatu au a bottle of wine ndo utajua kwa nini tunaona ni bora kujipatia wako wa kupooza moyo kwani itapunguza machungu. Labda huwajui the so called women! Imagine kila ex wako ukikutana nae huwa inakuwaje? Ndo ujue na mkeo akikutana na ex wake anafanywa kitu gani!

Huwa sifanyi jambo kwa sababu nimelazimishwa au nimesababishwa kufanya!
 
Asante kakangu. Mbona wifi yangu atapata raha, mume mstaarabu na mawifi wa kishua!Ngoja cheaters waamke manake saa hizi wanakimbia kuvalia soksi kwenye magari manake walirudi home midnite!
ratio hairuhusu ksb ya sasa ni 5:1 sasa ukisema 1:1 wanawake wengine watakuwa hawalambwi
 
telitaibi,too bad for u,u have to do something!

ni past now maombi huamisha milima yaani amekuwa kama mtu mwingine feel lk nimeolewa tena na very hnst ona am luck dia kama kuna walio na tabu mwanamke goti
 
Hapa cha msingi wote wake kwa waume tuwe na hofu ya MUNGU tutashinda majaribu, lakini mkikaa kutusema sisi wanaume tu haitoshi kama nanyi hamjatulia, ninyi mkijiheshimu nadhani hata sisi tutaona aibu kuwavulia vibukta vyetu.
 
Hapa cha msingi wote wake kwa waume tuwe na hofu ya MUNGU tutashinda majaribu, lakini mkikaa kutusema sisi wanaume tu haitoshi kama nanyi hamjatulia, ninyi mkijiheshimu nadhani hata sisi tutaona aibu kuwavulia vibukta vyetu.

Nani amekuambia Mungu anatakiwa kuogopwa?
 
Back
Top Bottom