Kubwa ni mwana JF kujua lengo la kujiunga hapa.Ukiwa na dhamira nzuri, bado utatoka na mengi sana hapa.
Tukijenga dhana ovu, hata vyuo vikuu kuna watu wako kule na nyendo zao hazifanani na elimu zao. Kwa hali hiyo, hatuwezi kugeneralize kwamba tusiende kusoma au tusiende kusomesha wake zetu, ndugu zetu, watoto wetu,wachumba wetu, na wengineo.Tukiwa positive, heshima na hadhi ya jukwaa hili bado itabaki vilevile kama waasisi walivyokusudia.