Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 19, 2022 #1 Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,359 Oct 19, 2022 #2 Uko katika ubora wako
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 19, 2022 Thread starter #3 Jorge WIP said: Uko katika ubora wako Click to expand... Wakulalamika
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,359 Oct 19, 2022 #4 Unique Flower said: Wakulalamika Click to expand... Umeshau akiwa mwanamke anaombwa aliwe kimasihara kwanza
Unique Flower said: Wakulalamika Click to expand... Umeshau akiwa mwanamke anaombwa aliwe kimasihara kwanza
Cymon Taylor JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,754 Reaction score 3,427 Oct 19, 2022 #5 Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta nakuanza kumsakama Click to expand... Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia
Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta nakuanza kumsakama Click to expand... Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Oct 19, 2022 #6 Muhuni 1 said: Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia Click to expand... Mzeya umelikubali totoz hilo....ebu nenda kamwagie protein na kumpa kazi
Muhuni 1 said: Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia Click to expand... Mzeya umelikubali totoz hilo....ebu nenda kamwagie protein na kumpa kazi
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,030 Reaction score 40,072 Oct 19, 2022 #7 Single mother umepatwa na nn? Mbona nyuzi kichele
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 19, 2022 Thread starter #8 Muhuni 1 said: Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia Click to expand... Hampo serious
Muhuni 1 said: Kama ndo wewe Unique Flower kwenye hiyo avatar basi namba yako ninayo nitakupigia Click to expand... Hampo serious
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 19, 2022 Thread starter #9 mzabzab said: Mzeya umelikubali totoz hilo....ebu nenda kamwagie protein na kumpa kazi Click to expand... Unaona
mzabzab said: Mzeya umelikubali totoz hilo....ebu nenda kamwagie protein na kumpa kazi Click to expand... Unaona
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,403 Reaction score 12,020 Oct 19, 2022 #10 Wameshakuvuruga
P Passenger19 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2021 Posts 615 Reaction score 1,002 Oct 19, 2022 #11 Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta nakuanza kumsakama Click to expand... Kwenye avatar ni wewe?
Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta nakuanza kumsakama Click to expand... Kwenye avatar ni wewe?
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Oct 19, 2022 #12 Unataka kazi?
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 19, 2022 Thread starter #13 Zulu man with some power said: Unataka kazi? Click to expand... Yes ya customer care
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Oct 19, 2022 #14 Unique Flower said: Yes ya customer care Click to expand... Mbona unachagua ? Au hiyo ndio kipaumbele
Unique Flower said: Yes ya customer care Click to expand... Mbona unachagua ? Au hiyo ndio kipaumbele
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,330 Oct 20, 2022 #15 Me Sina kampuni ila nna rungu sa nifanyaje Sent using Jamii Forums mobile app
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Oct 20, 2022 #16 Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama! Click to expand... Ww ni mzabzab wa kike
Unique Flower said: Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama! Click to expand... Ww ni mzabzab wa kike
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,028 Oct 20, 2022 #17 Kama hutojari njoo pm nikupe Kaz ya kuwa msemaji wa mahusihano wa michepuko yangu Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama hutojari njoo pm nikupe Kaz ya kuwa msemaji wa mahusihano wa michepuko yangu Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 20, 2022 Thread starter #18 Lovelovie said: Ww ni mzabzab wa kike Click to expand... Hapana kabisa unikome labda wewe
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 20, 2022 Thread starter #19 Kazi gani wewe inayo?? Ya ofisini lakini Zulu man with some power said: Mbona unachagua ? Au hiyo ndio kipaumbele Click to expand...
Kazi gani wewe inayo?? Ya ofisini lakini Zulu man with some power said: Mbona unachagua ? Au hiyo ndio kipaumbele Click to expand...
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 Oct 20, 2022 #20 Unique Flower said: Hapana kabisa unikome labda wewe Click to expand... Mimi huyu nikukome ww mzabzab😂😂
Unique Flower said: Hapana kabisa unikome labda wewe Click to expand... Mimi huyu nikukome ww mzabzab😂😂