sio shida zanguπππππBadili avatar kabla sijakupiga ban!
sio shida zanguπππππ
Sawa gaidi.sio shida zanguπππππ
Ile I'd yako ya zaman ilikua mshindo Saname sipo kwa list zako aisee kweli nimepunguza uchangiaji humu ndani.
tatizo ilikuwa inaninyima watoto wazuri wazuri.Ile I'd yako ya zaman ilikua mshindo Sana
Tafadhali acha Kulazimisha Watu kunitaja kwani kwa Shani ( Tunu) niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE ni zaidi ya huko kutaka Kwako Mimi Kutajwa sawa?Rosemary 255
Mbona ujamtaja popoma a.k.a GENTAMYCINE au wewe akili zako ni ndogo sana kusoma nyuzi zake
Huwezi ukamtega na mtama mzee wa watu bar maksudi ukategemea watoto wazuri wakusogeleetatizo ilikuwa inaninyima watoto wazuri wazuri.