katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Wewe umejitambua mapema.Humu ni kuchart tu kama umeboreka ila serious relationship ukitaka katafute kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts ,harusi,hotels,lodges,meetings amd conferences humo ndio utampata mtu kwa maana hata first impression ni mnaonana ila humu wako watu wamechoka kweli.
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .Ngoja nikuchane kidogo; mpaka unafikia hatua ya kuamini humu hakuna watu walio serious ni kwa sababu uliweka moyo na muda pole kwa yaliyokukuta, jifunze kuweka moyo na akili utapata matokeo chanya.
Unaamini serious relationship inapatikana kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts, harusini, mahotelini, mara logdes sijui ndio zile nyumba za kulala wageni. Anyway, binti acha kuundanganya moyo wako, wewe unaweza kwenda hata kwenye nyumba za ibada pia kuna mikusanyiko ya watu na hicho unachokitafuta usikipate.
Mwisho nakupa tena pole kwa yaliyokukuta halafu na hao wanaume waliokuwa wanaonesha nia ya kukuhitaji wamenikera kweli.
Kama wew hujawahi kumtesa mtu, bas endelea kulaumu.Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Siwezi kuwa na mtu hukuu ni chaguo languKama wew hujawahi kumtesa mtu, bas endelea kulaumu.
Lakin km ushawahi, hzo lawama zako ni matokeo ya mbegu ulizopanda mwenyew
Jiamini......Siwezi kuwa na mtu hukuu ni chaguo langu