Yaani hata mimi kila akianza kuongea sitaki amalize, akiongea ana mvuto fulani natural kama baba wa taifa alivyokuwa, nikimuangalia namkumbuka sana baba wa Taifa. Ni kijana charismatic kuliko kijana mwingine yeyote Tanzania kwa wakati huu, nina uhakika angepata chama akatangaza nia angepata kura nyingi mno, urais sio age bwana au experience, kwani Kabila mdogo alipochukua nchi ya Congo ambayo politics zake ziko more complicated zaidi ya Tanzania alikuwa na uzoefu gani? Na mbona ame manage?