Hawawezi maana hiyo 2/3 iko kwenye sheria. Labda sasa wasubiri Bunge la kawaida litakapokaa. Kanuni wanaweza kupindisha na je, kura ya maoni itakuwaje? Au nayo watabadili tena? Kumbuka sheria hiyo ilivyowasumbua upande wa Z'bar wakati wanakwenda kuitetea, hadi ikachanwa. Kwa ujumla ni busara ndogo ya wajumbe iliyosababishwa na Rais mwenyewe. Aliteua wajumbe ili wakashindwe kujadili.
Hawa wanaodhani akili imejaa kumbe ni wajinga tu, Unawezaje kupanga mchezo na sheria zake, ukasema mfano, tuanze riadha, halafu ukizidiwa unasema tubadili sheria ili mchezo uwe ni rugby. Watu waanze kukabana koo na miguu!