Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Nilivyosikia alimaliza A-level Benjamen Mkapa sekondari DSM, akawa anauza duka la vyombo la shangazi yake badaye akaenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii TENGERU-Arusha akasoma Cheti mwaka moja, akaendelea diploma miaka miwili na akamalizia Advance diploma ya ma Maendeleo ya Jamii hapo hapo Tengeru.Nataka kujua Curriculum vitae (CV) ya huyu anayejiita Karibu wa Itikadi wa CCM ambaye kutwa kucha anatukana watu kutwa kucha. CV ainaweza kusaidia angalau kukadiria uwezo wa IQ yake.
Hicho kibabu slow slow kiliteuliwa kutoka jalalani na muokota makopo, hivyo usitegemee kupata cha maana kwenye elimu yake...Nataka kujua Curriculum vitae (CV) ya huyu anayejiita Karibu wa Itikadi wa CCM ambaye kutwa kucha anatukana watu kutwa kucha. CV ainaweza kusaidia angalau kukadiria uwezo wa IQ yake.
Yaani wamebaki kutukana njia nzima kama walevi wa gongoNataka kujua Curriculum vitae (CV) ya huyu anayejiita Karibu wa Itikadi wa CCM ambaye kutwa kucha anatukana watu kutwa kucha. CV ainaweza kusaidia angalau kukadiria uwezo wa IQ yake.
Muha au Ha kwa kiinglishWakuu naombeni kujua kabila ya Polepole
Au ndio raisi kijana ambaye Alisemwa ataachwa na Magufuli? Tanzania kila kitu kinawezekanaHumphrey Polepole.....
Kama angepewa tuzo ya heshima naona kwa alivyo Sasa ingebidi avuliwe.Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Polepole alipendwa na kila mpenda haki wakati wa mchakato wa katiba mpya, Polepole kama kinyonga alibadirika ghafla na kuyakana mwaoni na mawazo yake ya wakati wa mchakato wa katiba mpya, huo ukawa mwisho wa umaarufu wake.Ukisoma huu uzi utagundua vijana wa chadema wote walikuwa wanampenda polepole kabla hawajabadili gia angani
Polepole alipendwa na kila mpenda haki wakati wa mchakato wa katiba mpya, Polepole kama kinyonga alibadirika ghafla na kuyakana mwaoni na mawazo yake ya wakati wa mchakato wa katiba mpya, huo ukawa mwisho wa umaarufu wake.