Kwanza kabla ya kumlinganisha MTU na mwalimu Nyerere ujue sifa zake zilikuwa zipi,
1. Kujisimamia
2. Kujenga hoja
3. Kumwambia MTU ukweli bila kujali nguvu yake ya pesa au cheo,
Nayaona hayo katika Humphrey Polepole, yaweza isiwe Leo au kesho ila Polepole ni aina ya watu wanaohitajika kuongoza nchi au kundi lolote la watu,
Tupitie michango yake mbali mbali kupitia video, please angalia videos kwanza ndo upate cha Ku comment
1. ITV
2. Mabadiliko aliyosema mwalimu
3.
4.kabla ya kura za maoni CCM ilikuwa tarehe 5/6/2015 ITV
5. UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA
6. Juu ya wagombea au watia nia wote wa CCM 16-4-2015