Humphrey Polepole, kwanini unatufanyia hivi?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
Kwako Polepole,

Punguza kutudanganya watanzania. Jana Rais kawawakia TAKUKURU kuhusu kusikia tuhuma na kuzifanyia kazi, lakini wewe ulidai Rais alipelekewa rushwa ya bilioni 300 na Acacia akakataa. Mbona hilo halijafanyiwa kazi? Hivi mmetuona sisi ni viazi na maandazi kiasi hicho?

I swear nyie mnatudharau sana, mngekuwa Kenya sijui ingekuwaje?

Mara ukatudanganya Acacia wamekubali kulipa deni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…