Humphrey Polepole kuwa mkweli

Wafanyakazi wa umma yaani walioajiriwa na serikali au taasisi au mashirika ya umma , unazungumza kujengwa kwa kiwanda serikali ina viwanda hapa tz?. someni kwa lengo la kuelewa kwanza ndiyo ujibu baadaya ya kuelewa si kujibu tu.
Huyo jamaa ameandika kwa kejeli
 
Salary slip naona umetokea baada ya mwezi kuisha huu
 
Mungu anisamehe ktk hili. Humphrey Polepole sikupendiiii. Period!
 
haka kamchizi nikikaangalia ni kama kacomedian flan hivi, sijui ngosha alikaaminia nini?? hebu chekini sura yake hakafai hata kupewa umonitor
 
Sijawahi kukutana na yeyote ambaye aliulizwa swali juu ya huu mchakato na kuhusu ajira akajibu akaeleweka.
Wote hua wanazunguka maswali, popo wengine wakishindwa kabisa wataleta mada ya kwanini msijiajiri, popo mmoja akaona haitoshi akaingia mtandaoni na kuwashangaa vijana ambao wana shahada na hawajajiajiri.

Hivyo basi sioni sababu ya kumpiga mawe huyu bwana hiyo yote ni kwakua zoezi zima limekurupushwa, ingekua wana A, B, C za zoezi, angeweza kujibu kua sasa hivi tunaelekea kwenye B, itachukua miaka miwili, kwenye C itakua miezi 6 hivyo ajira ni mpaka 2020.
 
Wafanyakazi wa umma yaani walioajiriwa na serikali au taasisi au mashirika ya umma , unazungumza kujengwa kwa kiwanda serikali ina viwanda hapa tz?. someni kwa lengo la kuelewa kwanza ndiyo ujibu baadaya ya kuelewa si kujibu tu.
Nilivyoelewa mimi he was kidding/mocking kuhusu viwanda sio kama wewe ulivyomchukulia serious
 
Nimeona hasira anajibu utumbo mpaka anakera!
Imebidi nibadili channel niweke EATV tu niendelee kuenjoy muziki

Basi hata hayo hayo anayotetea atetee kwa ufasaha pumba tupu
Shame on you pole pole

Tatizo la MOYO hudanganywa na mengine japo kazi yake kusukuma Damu.Pole
 
Huyu pole pole yupo vizuri sana kwa propaganda, Chadema wajipange sana kukabiliana nae.

Polepole yupo tofauti sana na Nape, Huyu ananguvu za ushawishi tofauti na Nape aliekuwa anaropoka tu.
 
Huyu pole pole yupo vizuri sana kwa propaganda, Chadema wajipange sana kukabiliana nae.

Polepole yupo tofauti sana na Nape, Huyu ananguvu za ushawishi tofauti na Nape aliekuwa anaropoka tu.

Mtu aliyekula Matapishi si anatoa aliyoyameza.??Kwa sasa SLOW SLOW kapoteza mvuto
 
Huyu pole pole yupo vizuri sana kwa propaganda, Chadema wajipange sana kukabiliana nae.

Polepole yupo tofauti sana na Nape, Huyu ananguvu za ushawishi tofauti na Nape aliekuwa anaropoka tu.
Huyu DOGO white KABISA, ni puppet politician, nikimsikiliza sioni cha maana anachoongea, sana sana anajitahidi kuiteka hadhira KWA mbwembwe kumfurahisha aliyempa kazi, ila ni mganga njaa tu. KATIBA YETU IKO WAPI NA PESA MLIKULA?
 
Bandiko lako halielezei malalamiko yako yanahusiana na nini hasa. Umeandika andika tu.
 
TANGU LINI FISADI AKALETA NEEMA? HIYO NDIYO FURAHA YAO WAKIONA WATU WANAUMIA NA KUTESEKA
BILA SSM TUNGEKUWA MBALI SANA. HAWA WATU BORA WAKOLONI

KAMA YY NA FAMILIA YAKE WANAKULA NA KUNYA LINI ATAKUONEA HURUMA? HUU NI UNYANYASAJI WA HALI YA JUU
OVYO SANA
 
Hiyo haiitwi UCHOCHEZI mkuu inaitwa BLASPHEMY! Polepole amechamba sana, sasa anajipaka ma.vi mikononi (Refer kuchamba kwingi huondoka na ma.vi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…