Ni ngumu kutofautisha CCM na Serikali hasa kwenye madudu yanayoendelea nchini.!Saizi polepole anaanza kusema rais. Yeye anavyozungumzia mambo ya chama asiihusishe serikali kuwa rais aliagiza makontena. Yeye ajikite kisema mwenyekiti wa chama. Mambo ya kumzungumzia rais ni msemaji wa serikali au ikulu.
Tudai katiba nzuri ambayo haimuunganishi rais kuwa na vyeo vingine mfano mwenyekiti wa chama.
Kitila yule aliyetaka " kuipindua" Chadema?Asante kwa mchango Kada mzoefu, naona sasa Bashiru, Kitila, Polepole na Msando ndio ma alwatani ya chama.