G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,276
- 38,847
Huyu mtu sijui hata anachosimamia! Jioni nilimuona TBC1 akipotosha jamii kuwa tume ya uchaguzi ya Zanzibar-ZEC ilikuwa na haki ya kuvunja uchaguzi na kuufuta kwa kuwa eti Maalim Seif hakuwa halali kujitangaza kuwa mshindi!
Muda huu anapotosha jamii kuwa uchaguzi unaosimamiwa na ZEC hauna mamlaka juu ya NEC na kwa Zanzibar kila tume yaani (NEC na ZEC) inajitegemea! Huyu mtu simply namuita mjinga.
Huwezi kutofautisha ZEC na NEC kwa upigaji kura wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa watu wa Zanzibar kwani mpiga kura ni yuleyule!
ZEC akilalamika kuongezeka idadi ya kura kuliko wapiga kura hata NEC atakuwa ameathirika!
Aache kutumia vituo vya televisheni kupotosha jamii! Huyu alifukuzwa chanel 10 kutokana na hoja za kijinga anazojenga.
Leo yupo TBC1kuanzia saa tisa alasiri hadi sasa saa nne usiku na anaongea ujinga.