Alikuwa ana nuru na afya nzuri kweli kabla hajawa na ndimi ya pili, maskini sasa anachakaa kwa sababu nafsi inamsuta ila njaa inamuuma afanyeje? Kawa kama mtu alieigiza ile filam ya bush man, njaa inauma halafu inauma vibaya sana.
Huyu Mweshimiwa alishawahi kusema uchaguzi ukiwa wa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Madaraka! inamaana hapa Nchi hakuna uchaguzi wa huru na haki?
Sijaelewa Siasa zetu zipoje? Tizame video hiyo fupi ambayo ilisambazwa sana kipindi cha uchaguzi 2015
Wakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
Wakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
Malnutrition haijawahi muacha MTU Salama...Na ukiwa kijana mwenye akili timamu kabisa alafu ukawa mwanachama wa CCM na bado ukategemea fadhira za uDC,RC au DED basi utapiamulo wa akili hautakuacha salama na Abadani hautakua consistency ktk fikra zako Leo hili kesho lile ili mradi ucheze ngoma ya Mwenyekiti wako...