Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,615
- 40,163
Ni katika nafasi ya KATIBU wa itikadi na uenezi.
Kila LA kheri Mh polepole kwenye majukumu mapya ya chama
=======
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kimemteua Ndg Humphrey Polepole kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi.
Makada wengine waliowahi kuwa Makatibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi soma

- Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru
- Omary Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM
- John Mgesa
- Jackson Msome - Katibu Mwenezi
- John Chiligati
- Aggrey Mwanri
- Christopher Ole Sendeka
- Nape Nnauye
- Humphrey Polepole ateuliwa kuwa Katibu itikadi na Mwenezi
- Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM
- Sophia Mjema ateuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM
- Paul Makonda ateuliwa na CCM kuwa Katibu Itikadi na Uenezi Taifa
- Amos Makalla ateuliwa kuwa Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM