Humanity has failed her

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

When a photographer tried to click a picture of this Syrian kid, she thought it's a weapon. She raises her arms to surrender.

The world has failed her. Humanity has failed her. We've failed her.

 
Watoto wanazaliwa wanakuta silaha kali ndio sehemu ya maisha yao, na wanaosababisha haya wanakunywa chai kwa mluzi habari hawana. Dunia hii haina haki!
 
Mpelekeeni DHAIFU hii picha ili awaambie askari wake wasianzishe vita dhidi ya raia wasiokuwa na hatia bali wanaotaka haki itendeke!!
 
Nimebubujikwa na machozi baada ya kumwona huyu mtoto ambaye ni umri wa mwanangu.
 
Kila siku nikiingia Jf nitakuwa napita hapa kuangalia picha ya huyu mtoto na nnasign kuwa

IPO SIKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…