Nashangazwa zaidi na hizo concern over the diseases that the human flesh capsule could spread
Mbona hawazungumzii hata legal aspect ya anthropophagia? au moral concern ya cannibalism?
Hawagusii kabisa suala la ushirikina linalo endelea? au labda sababu hawa ni med doctors?
maybe wange hoji sociologist au anthropologist, au tena lawyer, wangekua na concern tofauti.