HUMAN CLONING: Kuna ukweli hapa au Nyambu?

Tukianza kutengeneza clone ya Diamond leo hii,itachukua muda gani kukamilika,then Diamond huyu wa sasa tumfiche sehemu
 
Mimi na wewe nani ana tatizo? Wapi nimesema pumzi inapulizwa na Mungu kama sio kunilisha maneno? Swali lilikua short and clear, "Pumzi wanatoa wapi?" Wewe na kihere here chako umeanza kuropoka kama umeshikwa kalio.
 
Binafsi nimekuelewa vema kabisa, umenipa kitu kigeni sikukijua kabla, lakini pia wanasema hilo suala la clone linafanyika kwa Wanyama na sio kwa Binaadam na wame ban huo mchakato kwa Binaadam.... je ni kweli?
 
Huu uzi ulishawahi kuletwa JF miaka ya nyuma.
wakazungumziwa kina Eminem
 
Binafsi nimekuelewa vema kabisa, umenipa kitu kigeni sikukijua kabla, lakini pia wanasema hilo suala la clone linafanyika kwa Wanyama na sio kwa Binaadam na wame ban huo mchakato kwa Binaadam.... je ni kweli?
Uko sahihi kabisa mkuu, cloning imezuiliwa kwa binadamu kwa sababu za kimaadili, na nadhani wako sahihi kabisa. Kwa wanyama ni ruksa kabisa kwa nchi nyingi tu duniani. Na inafanyika hadi leo.

Angalia link yenye wanyama waliowahi kufanyiwa cloning

 
Wewe unaonge vitu usivyovifahamu, unapozungumzia cloning unamaanisha wewe binaadam uliyehai (unapumua), inachukuliwa DNA yako inaenda kupandikizwa kwa binaadamu mwingine anayefanana na wewe anayeandaliwa maabara (copy) kumbuka huyo copy unakuta kaandaliwa pasina pumzi maana hadi leo haipo sayansi ya kuamsha kiumbe kirudi kuwa hai haijarishi ni kiumbe kipya (mnyama,ndege,samaki au mdudu) au wakufanana na wewe (Copy)
 
Mbona unaniwekea maneno ambayo sijaandika, yaani nimetumia lugha ya kiswahili na mifano kibao hasi ya picha bado umeshindwa kunielewa? Au ulikuwa unareply kwa mtu mwingine?
 
Yaani pamoja na mifano na link zote nilizotoa hujaelewa tu, au ulikuwa unamquote mtu mwingine? Nadhani ni vyema ukabaki na unachokielewa. Kuna aina nyingi sana za cloning, mjadala huu ulijikita zaidi Kwenye Reproductive cloning. kama una nia ya kuelewa pitia tena comments zangu upya. ulicho reply hapo yaonekana hujui kinachojadiliwa
 
Huo ni uongo.

Hufahamu unachokiongea, umeunda unda tu story za vijiweni na kutengeneza uzi.


hakuna cloning ya hivi hapa duniani usipoteze muda wako kuamini ujinga huo
 
George W. Bush ni clone wa baba yake. This implies George siyo mtoto wa Barabara Bush.
Human clone ni binadamu.
Unayemsema wewe ni robotoid. Sikilizsaaudio letter no. 45 ya Peter Beter.

Haya mambo ni so boring kwangu mimi kwa sababu nimeyasikiliza mara nyingi. Yo me it is vrry biringo kwa sababu nimeyasikiliza mara nyingi.
Lakini labda weer unataka kujua kwani ni mambo gani hayo wanayosema?
So,I will quote this
On Saturday April 21, Jimmy Carter flew secretly from Georgia to Camp David unaware that Mondale was dead. After lunch he went to Bethesda Naval Hospital for a checkup on his cancer and then to the White House briefly. It was not until roughly 8:00 PM that night that the real Jimmy Carter returned to Plains. There about 10:30 PM Jimmy Carter, President of the United States, was shot between the eyes, but incredibly he retained some signs of life. He was rushed from Plains to Andrews Air Force Base outside of Washington, arriving shortly after midnight. By 2:00 AM Sunday April 22, he was in surgery at Bethesda Naval Hospital; but it was hopeless, just as it was in 1963 when President Kennedy was shot in the head. With Rosalyn Carter in shock, the body of the late President of the United States was disposed of quickly. That evening the real Rosalyn Carter was at the White House under heavy sedation, but shortly after midnight she, too, was executed with a bullet between the eyes. During the past several days Jimmy Carter N° 2 (that is, Carter's "double") has been seen repeatedly in public--and what a change! Jimmy Carter No. 2 looks and acts 10 years younger than the real Carter did.
 

Kaka ulichokuelezea science inakata! Kwa uelewa wangu ukifanya cloning kwa wanyama mchakato unaanzia kwenye kiini tete (cell) ambacho hutolewa sehemu ya kiumbe yule ambae wanataka kum-clone. Ambayo hutunzwa ndani ya tumbo hadi kuwa kiumbe kizima.

Hivyo, sio rahisi kuwa na size moja katika maumbile japo sura zitakuwa zinafanana kabisa. Pia hawawezi kuwa na kumbukumbu sawa. Clone hawezi kuridhi kumbukumbu za chanzo chake.

Hiyo picha ya Mandela hata wewe uñaweza kuegeuza kushoto kuwa kulia na kulia kuwa kushoto.
 
Uzazi wa mpango umefeli,
Umefeli vipi! Ikiwa leo watu mnaishia kuzaa mtoto mmoja au wawilitu, ukiwa na watoto wengi unachekwa, mwanamke kubeba ujauzito anaona aibu, na akibebea ujauzito kwa bahati mbaya mimba anaichoropoa au akizaa mtoto anamtupa.
 
Umefeli vipi! Ikiwa leo watu mnaishia kuzaa mtoto mmoja au wawilitu, ukiwa na watoto wengi unachekwa, mwanamke kubeba ujauzito anaona aibu, na akibebea ujauzito kwa bahati mbaya mimba anaichoropoa au akizaa mtoto anamtupa.
Nenda bush ukaone kijiji achana na prototype ya mijini.Population ya Africa ipo vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…