Hulka ya mwanataaluma

Hulka ya mwanataaluma

NJOLO

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
568
Reaction score
604
Mchezaji wa mpira, furaha yake ni kufunga magoli. Huyu anajipenda mwenyewe.

Furaha wa kiongozi wa dhehebu lolote la dini ni kupata waumini wengi. Huyu anawajali watu kama kipao mbele.

Furaha ya Daktari wa binadamu ni kuona mgonjwa wake anapoma. Huyu anamjali mtu.

Kicheko cha Mwanasheria ni kushinda kesi. Huyu anatafuta umaarufu kwa maslahi bianfsi

DHANA NA FIKRA ZA MWANASAYANSI NI KUGUNDUA, KUJENGA, KUTENGENEZA nk. Huyu anajali vitu na kutafuta umaarufu wa sasa na baadaye.
 
Mwanasiasa je? Vipi polisi?
 
Back
Top Bottom