Hukumuni...................... ...

nelly nely

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
665
Reaction score
229
Mwanahistoria,padri na mwanafizikia walikufa wakafika mbele ya mwenyezi Mungu.Mwenyezi Mungu akawaambia..."atakaejibu maswali yangu vizuri ataingia mbinguni".akaanza na mwanahistoria;
Mungu;ni ajali gani mbaya kuwahi kutokea duniani?
Mwanahistoria;ajali ya meli
Mungu;safi ingia mbinguni
Mungu;haya,we padri,hiyo meli ilikuwa na watu wangapi?
Padri;1500
Mungu;safi ingia mbinguni
Mungu;mwanafizikia,umesikia meli ilikuwa na watu wangapi?
Mwanafizikia;1500
Mungu;nitajie majina yao!!
 
mamaaa, mh!labda kwa kuwa ni joke...ila God is fair bana
but
nimecheka...
 
Haya sasa wanafizikia na kiherehere chenu cha kupinga uwepo wa Mungu.
... Mtajikoj*leaje !
 
Mungu alimwonea mwanafizikia kwa swali gumu kama hilo hata angetunia fomula ya Enstein E=MC[SUP]2[/SUP] asingepata
 
Angeanza na yale ya karibu nyerere,kawawa,mponda,nkya na wengine
 
Hapo mungu nadhani nafasi alizokuwa nazo zilikuwa mbili tu, ndo maana kampiga pini jamaa hili angemgonga Padre.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…