hukumu ya wizi

tobycow

Senior Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
129
Reaction score
13
kuna wezi 3 walikamatwa kwa wizi wa matunda kwenye mashamba ya watu.walipofikishwa mahakamani,hakimu akaamuru kila mwizi a.i.n.g.i.zi.w.e matunda ambayo ameiba.basi john ambaye alikuwa mwizi wa maepo akaanza kucheka.jaji alipomuuliza kwanini anacheka.akajibu namcheka huyo aliyeiba fenesi
 
duuuuh!!! hiyo ilikuwa mahakama ya wale jamaa zetu nn?
 

Utani huu unafaa kuwa kwenye utani wa sehemu za ulevi kama vile baa au grosari Haupendezi hapa Jf kwa 'great thinkers' in other words it is a dirty joke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…