Hukumu ya serukamba

Nchi ya magumashi.

Speaker ana pwaya sana,Naibu spika anapwaya zaidi

Mwanasheria Mkuu anapwaya hadi aibu

Waziri Mkuu anapwaya na bingwa kusema uongo hata akiwa ndani ya Bunge,nae anapwaya

Rais nae ndio usiseme anaogopa matukio mazito kuyatolea maamuzi!akiona anazidiwa anasafiri,akirudi upepo umetulia,anasubiri mwisho mwezi anahutubia akiwa analalamika bila kuchukua hatua stahiki!...Rais alienunua madaraka kwa mipesa kibao ya EPA
 
Tufikie mahali tuone aibu kuwa waoga wa kukemea uonevu huu unaofanywa na wabunge wa ccm wwakiongozwa na spika wao.mimi nashangaa pale mbunge wa ccm anaposimama anarudia maneno yale yale,WANANCHI WANATUONA..je huwa wanafikiri wananchi tumelala au wanataka huruma toka vijijini?
 

Ndo hivyo ndugu yangu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wao wapo wengi na CHADEMA wanawanachi wanashuhudia yote haya
 

Sasa amekufedheeshsje kams hujamtuma?
 
Sasa amekufedheeshsje kams hujamtuma?
Amefanya kinyume na Matarajio yetu.Sisi tulimtuma aiulize Serikali ni lini Kigoma itakuwa na Viwanda kwa ajili ya Migebuka na mawese ili tuwache kusafirisha Mazao hayo yakiwa ghafi.
 
Kuna orodhaa ya viongozi waandamizi wa ccm huwa wanatukana mara kwa mara hasa ukifatilizia midomo yako sema Mic huwa ziko off.

1.LUKUVI
2.AG
3.WASSIRA.
4.LUSINDE
5.MWIGU
6.NKAMIA
7.KOMBA
8.MANYANYA
9.KILANGO
10.RAGE
11.ADAMU.M
12.
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30


WAFATAO NI WABUNGE WA CDM
1.
2.
3.
4.
4.

WAFATAO NCCR MAGEUZI
1.
2.
3.

WAFATAO CUF
1.
2.
3.
JARIBU KUFATILA WAKIWA WANACHANGIA AMA KUOMBA MUONGOZO WAKABEZWA THEN ANGALIA MIDOMO YAO VIZURI HASA UKIWA NA UWEZO KULUDOVIC VIDEO
 
Babaanjela
Bado una homework nyingi za kufanya kujua ni kwanini kiongozi wa kitaifa kama serukamba peter anaweza kuwatukana watz tusi lile na bado naibu spika job ndugai kabaki kimya kama zuzu tu. Ni aibu kwa bunge, raisi na ni aibu kwetu sote wananchi wa watz. Mambo haya hayatokei bila sababu, kila jambo hutokea kwa makusudi yake. Baadhi ya wanaCCM wamekuwa na kiburi kiasi kwamba unafikiri wako juu ya sheria na madaraka yote thus why Peter Serukamba anaweza kutukana bunge bila wasiwasi wowote kisa yeye ni mbunge wa chama tawala. Mungu si john au athmani kwa kiburi na jeuri ya baadhi ya viongozi wa ccm au serikali mungu ataendelea kuwaumbua kwa kuonesha tabia zao chafu na katiri ili watz wajionee wenyewe na mwisho watakatiwa na kutemwa kama bigijii! Kiburi umeondolea mtu hekima na busara, kiburi uondoa weledi na maarifa, kiburi uondoa kumbukumbu za mambo muhimu kwa taifa. Kwa kiburi cha madaraka na matumizi ya raslimali za umma watz watazidi kushuhudia vituko na maudhi kutoka baadhi ya viongozi wa ccm na serikali yake kwa wanajari au kumhofia nani? Tafakari.......
 
Last edited by a moderator:
mleta mada(Baba Anjela..)
Mimi naona kabla ya SERUKAMBA TUANZE NA MEMBE ALIYESEMA ANA MAADUI 11 TISA WANASIASA NA WAWILI WAANDSHI WA HABARI AMBAO ATAWPGA KWA MKONO WAKE NA KUWAPELEKA UHAMISHONI KENYA TENA ALIONGEA LIVE ITV KWENYE KIPINDI CHA DAKIKA 45 KWANZA ANATAKIWA AOMBE RADHI NA AJIUZULU KWAN HANA SIFA ATA ZA KUWA DIWANI...PILI AFUATIWE NA NKAMIA ALIYETUKANA NA KUKATAA KUOMBA RADHI...KWA TAARFA TU LABDA UPO KIJIJINI UFATILII BUNGE SERUKAMBA ALIOMBA RADHI SKU ILEILE....PIA EPUKA KUTUMIWA KISIASA
 
Ukizngatia hali inayotokea sasa kwa waandshi wa habar na kauli za membe ni rahsi kumhusisha huyu mtu na haya
 
kaka kuna kitu chakuomba msamaha papokwapo ukapata msamaha na kuna kosa ambalo linaitaji kukanywa hata kama umeomba msamaha,mfano mwanao anakutukana ilo tusi alafu anakuomba msamaha je utapitisha msamaha papokwapapo na kumwambia muendelee na maongezi au utachukua atua sahihi ya kumkanya iwe ni kiboko au maneno yanayo endana na maumivu ya kiboko.
 


kweli kabisa mkuu
 


magumashi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…