Kesho tunatarajia hukumu ya kwanza ya kesi za EPA katika Mahakama ya Kisutu. Hukumu hiyo itakayosomwa na mahakimu watatu ambao ni Saul Kinemela, Focus Bambikya and Elvin Mugata itakuwa dhidi ya mfanya biashara kada wa CCM Rajabu Maranda na Farijali Hussein wanaoshtakiwa kwa kuiba Sh 1.8bn/- kupitia akaunti ya EPA.
Hata ungekuwa wewe ungekuwa mmoja kati ya hao ma lawyer waogaLets wait and see how professional lawyers are not helping this country because of their worries!