Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
Kashindye ashinda, Kafumu afumuliwa! Hah hah hah ha!!!!?
Hasa ukizingatia kuwa magufuli aliahidi rushwa ya kujenga Daraja la Mbutu na kweli mpaka leo hii kaishia kupeleka Lori mbili za Mawe tu na hataki kugusa mahakamani basi uchaguzi mwingine huoooooo, na safari hii pamba yao wameishusha bei toka Tsh 1000 mpaka Tsh 600/= nafikiri patakuwa patamu zaidi ya uchaguzi uliopita
sheria namba ngapi ya mwaka gani inayoainisha huu utaratibu mkuu mm ni mdau wa sheria sana
Unajua kuna sikukuu ambazo huwezi kuwa na uhakika zitaangukia tarehe gani.
Kwa taarifa zilizopo hukumu ni tarehe 21.08.2012(Jumanne) na kuhusu Magufuli baada ya kugoma kwenda Mahakamani kutoa ushahidi alionekana Nzega siku chache baada ya tukio hilo la kugoma na tumebaki na maswali ya kujiuliza alikwenda kufanya nini au alitumwa salamu za Mkubwa kwa JAJI?Wana JF ninapatwa na kigugumizi, hukumu ya kesi ya uchaguzi IGUNGA iliyopangwa tarehe 20 August 2012, mbona tarehe hiyo itakuwa siku ya IDD? au vipi mimi nilinukuu visivyo? Anayeelewa anijuze na mimi, ninachofahamu waziri Magufuri aliingia mitini kutowa ushahidi.
Magufuli alijipeleka kuonana na Jaji Faragha baada ya kupangwa tarehe za hukumu sijui aliongea nini na Jaji tusubiri tuone kitakacho tokea hapo 21.08.2012Ni kweli ilikuwa imepangwa tarehe 20/08 na hata ukiangalia kalenda wengi walifikiri idd itaangukia tarehe 21/08 ni kitu kilichotokea nje ya uwezo wa kawaida wa binadamu tuiachie mahakama itoe maamuzi yake.Si sahihi kuanza kujipangia hukumu itakuwa namna gani labda tujiulize huyo Magufuli aliyesema ana ed ya mwezi mzima ni kweli alikuwa mgonjwa au alikuwa anaogopa kuumbuka mahakamani.