Hukumu ya chenge vipi?

 
inaskitisha sana
 
laki 7 tu pamoja na vifo vya watu 2 tena wasichana mmh ,gharama hiyo haitoshi hata ku-repair hiyo bajaji.
kweli sheria za tz ni kwa walalahoi tu wala sio kwa mafisadi
Hivi wazazi wa hao marehemu wana hali gani hadi hivi sasa!? Au Mr Chenge alienda kuwapa pole yakaisha!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…