Kwa majira ya Tanzania hivi sasa ni saa 9 na dk 25 , bado hukumu haijatolewa ?
Hahaha..acha utani.Hukumu itatolewa baada ya ubomoaji kukamilika.
Magomeni kwa upande gani? Ni kama washapita.. ila kama ni huu upande unaopakana na Kigogo bado hawajapiga XSiogopi ila siielewi.....mie nilipo hainikuti,ila nyumba yetu ya magomeni sijui kama itapona.
Uwe unatumia akili kabla ya kulinganisha mambo.nashangaa upande wa pili zanzibar Bahressa anajenga apartment baharini na ameruhusiwa kusogeza maji ya baharini ili kuongeza eneo lake la ujenzi
nashangaa upande wa pili zanzibar Bahressa anajenga apartment baharini na ameruhusiwa kusogeza maji ya baharini ili kuongeza eneo lake la ujenzi
Utofauti upo wapi hapo? Au bahari ya zanzibari na pwani zake hazipati athari kama hizi zilizoko huku Tanganyika? Akili za watu wa CCM zingekuwepo wakati mji wa Venice unajengwa wala usingejengwa!!Uwe unatumia akili kabla ya kulinganisha mambo.